Friday 10 May 2013

                             VIATU VYA HARUSI

                   Gladiator Gold Sandal Wedding Shoes: When in Rome, do as the Romans do
     
    Ni viatu vizuri sana kwa ajili ya beach n a nimaarufu sana kwa nchi ya italy ambayo hutumia sana wakiwa beach kama tuanvyojua na kama hujui ujue kuwa wenzetu harusi za wenzetu ni lazima waende beach kupunga upepo,wengi wao hupendelea viatu hivi kwanza ni vyepesi na havizami chini na pia havinati chini ya mchanga na hupitisha hewa kwa hurahisi na vidole vyako kuonekana vizuri navya kupendeza, Kwa Tanzania sijui kama hivi viatu vimevika kutokana na soko la huku kuwa chini sana .
                                          Blue Beach Wedding Shoes Created For Your Feet
Kama unavyojua beach ni sehemu ya kujiachia na ni bora kuviachia viungo vyako viweze kupumzka na kuenjoy mazingira,na ndio maana watu wengi sana huwa wanavaamavazi ya kujiachia na ndio maana wenzetu nje hufaa viatu kama hivi ili waweze kuenjoy vema.


                                                 Flat Black Wedding Shoes Are A Bliss
Hivi ni viatu vya aina moja lakini material tofauti na nivizuri sana kwa ajili ya matembezi ya bichi hivi hata hapa kwetu Tanzania vinapatikana mikoa yote.




 

Fahamu kuhusu mavazi ya harusi


Mavazi ya harusi yako ya aina mbalimbali,na ya rangi tofauti tofauti,tukitizama vazi hili ni vazi ya aina yake ambayo linapendwa sana na watu wa mabara ya ulaya,ukitizama vizuri utagundua kwamba wakati wa harusi hupenda sana mapambo ya rangi moja na mavazi yao wanayovaa.
                            Watermelon, Honeysuckle and Tangerine Wedding Colours
Kama unavyoliona vazi hili ni ni zuri na linapendeza na hata rangi walizotuimia kupambia ni rangi moja na nguo walizovaa,kwakweli ni zuri na linapendeza na hata ukikaa na kuanza kutizama unaweza ukawa kila mda uwe na tabasamu la nguvu.

                                            Red and Lavender Wedding Colour Combo
Rangi yake ni nzuri na imepambwa kwa rangi nyekundu ambayo imekalia vema kabisa katika mavazi hayo. Kweli imekaa vema na inapendeza basi kama unakitu chochote ambacho unaitaji kuzungumza na mwandishi wetu basi wasiliana nae kupitia Email pamoja na namba za simu ambazo ziko kwenye kurasa yetu.

USIKOSE TOLEO JINGINE AMBALO LITAHUSU VIATU VYA BWANA NA BIBI HARUSI.

No comments:

Post a Comment